SEKELA IRENE MULUNGU (Pichani)
Mama yetu kipenzi, ni miaka kadhaa sasa imepita tokea ulipotuacha wapweke hapa duniani, kumbukumbu ya marehemu mama yangu aliyefariki tarehe (14thOktoba,1998).
Tunakukumbuka na tutaendelea kukuenzi kipenzi chetu. Unakumbukwa na wanao wapendwa,Juliana,Jane,na Jeremiah.Unakumbukwa na bibi,mama wadogo,wajomba,wajukuu,wakwe, ndugu,jamaa na marafiki.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...