Mwenyekiti wa Chama cha Wazazi wa Watoto Wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo Tanzania (Chawaumiviata), Hilal Said wakati akizungumza na waandishi wa habari katika maadhimisho ya Siku ya Mtindio wa Ubongo Duniani yaliyoadhimishwa viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana.
 Mzazi mwenye mtoto mwenye changamoto ya maradhi hayo, Titus Chengula akizungumza na waandishi wa habari katika maadhimisho hayo.
 Hapa wakiwa katika picha ya pamoja.


Na Dotto Mwaibale
WAKUU wa Shule mbalimbali wametakiwa kuwapokea watoto wenye mtindio wa ubongo kujiunga na darasa la kwanza badala ya kuwakataa kwa maelezo shule zao hazina walimu maalumu wa kuwafundisha.

Hayo yalisemwa na Mwenyekiti wa Chama cha Wazazi wa Watoto Wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo Tanzania (Chawaumiviata), Hilal Said wakati akizungumza na waandishi wa habari katika maadhimisho ya Siku ya Mtindio wa Ubongo Duniani yaliyoadhimishwa viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana.

"Changamoto kubwa waliyonayo watoto wenye utindio wa ubongo hapa nchini ni kukataliwa na wakuu wa shule mbalimbali pale wanapokwenda kuandikishwa darasa la kwanza kwa madai ya shule hizo kutokuwa na walimu wa kuwafundisha" alisema Said.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...