Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya Sherehe za Utoaji Tuzo kutoka Muungano wa Wafanyabishara na Wamiliki wa Viwanda wa Tanzania na Uturuki, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hayatt Regency, jijini Dar es Salaam, jana usiku Okt 11, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa waandaaji wa Tuzo zilizoandaliwa na Muungano wa Wafanyabiashara na Wamiliki wa Viwanda kutoka Tanzania na Uturuki, wakati wa hafla ya sherehe hizo iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam, jana usiku Okt. 11, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa hafla hiyo, baada ya zoezi la utoaji Tuzo.
Picha na OMR
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...