![]() |
Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Kata ya Mabama, Jimbo la Sikonge Tabora. |
![]() |
|||||||||||||||||
Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Samia Suluhu Hassan (katikati) akiwapongeza mgombea ubunge wa CCM Jimbo la Sikonge, George Kakunda na aliyekuwa mpinzani wake katika kura za maoni, Said Nkumba (kukia) baada ya kumaliza tofauti zao na kuunda timu ya ushindi wa CCM. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA. |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...