Macho na masikio sasa yanaangazia ukumbi wa Julius Nyerere International Convention centre ambako kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Uchaguzi Mhe. Kailima Ramadhani ndipo matokeo ya Rais awamu ya kwanza yataanza kutangazwa leo Jumatatu saa 4 asubuhi, saa 7 mchana na saa 10 jioni.
Maandalizi yakiendelea ukumbini hapo
Jinsi screen za TV zitavyokuwa zikitoa matokeo rasmi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...