Meya wa Manispaa ya Kinondoni anayemaliza muda wake, Yusuph Mwenda (wa pili kushoto) akifuatilia kwa makini matukio ya sherehe hizo sambamba na watendaji.
Vijana wa timu za Kata hiyo wakichuana katika bonanza la sherehe hizo.
Mwimbaji wa nyimbo za mipasho, Isha Mashauzi
akitumbuiza katika bonanza la sherehe za uzinduzi wa uzio wa kisasa wa
Shule ya Msingi Mikocheni A, Manispaa ya Kinondoni mwishoni mwa wiki.
(PICHA ZOTE NA MPIGAPICHA WETU)
Huyu hapaswi kuaga, aendelee tu jamani.
ReplyDelete