Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bw. Robert Jaran (kushoto),
akifafanua jambo wakati wa Mkutano Mkuu wa 42 wa Wana hisa uliofanyika
Dar es Salaam jana. Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TBL,
Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya, Katibu, Bw. Huruma Ntahena na
Mkurugenzi wa fedha TBL, Bw. Kenn O'flahenty.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Waziri Mkuu wa zamani Bw. Cleopa David Msuya akisoma ripoti ya mwaka 2015, wakati wa Mkutano Mkuu wa 42 wa Wana hisa kampuni hiyo uliofanyika Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TBL Tanzania, Bw. Robert Jaran.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya (katikati), akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, baada ya Mkutano Mkuu 42 wa Wana Hisa wa kampuni hiyo. Kushoto ni Mkuregenzi Mtendaji wa TBL, Bw. Robert Jaran na Katibu Bw. Huruma Ntahena.
Baadhi ya Wana hisa wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TBL, Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya (hayuko pichani) wakati wa Mkutano Mkuu wa 42 wa wana hisa hao uliofanyika Dar es Salaam

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...