Wananchi wakimsikiliza Mhe. Deo Filikunjombe wakati wa mazishi ya Mwenyekiti wa  chama cha DP mchungaji Christopher Mtikila kijijini kwake Milo Wilaya ya Ludewa mkoa wa Njombe leo


Mhe. Deo Filikunjombe akiongea wakati wa mazishi ya Mwenyekiti wa  chama cha DP mchungaji Christopher Mtikila kijijini kwake Milo Wilaya ya Ludewa mkoa wa Njombe leo
 Mhe DeomFilikunjombea akitoa mkono wa pole  kwa wafiwa  katikati ni mjane Mama Georgina  Mtikila. 
Waombolezaji wakiwa msibani
 Mhe Deo Filikunjombe na waombolezaji wengnie wakiwa wamebeba jeneza la Marehemu Mch. Mtikila wakati wa mazishi 


 Mjane  wa Mch. Mtikila  Mama Georgine Mtikila akiweka shada la maua.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...