Sony Masamba ambaye ni mmoja wa waimbaji wa Skylight akiendelea kutoa burudani akisindikizwa na waimbaji wenzake jumapili iliyopita.Njoo leo kuona mambo mapya kutoka katika bendi ya Skylight katika kiota cha Escape One.
Mwimbaji wa bendi ya skylght Natasha akiwa anawapa mashabiki vionjo vya nyimbo za taratibu (kistaarabu) huku akisindikizwa na Sam Mapenzi jumapili iliyopita ndani ya kiwanja cha Escape One Mikocheni.
Mashabiki wa Bendi ya Skylight wakiendelea kulisakata Rhumba la nguvu kutoka katika bendi hiyo
Hii ni moja wapo ya Style mpya ya Bendi ya Skylight kama unataka kuijua basi jisogeze wewe na rafiki yako katika kiota cha Escape One uone mambo mapya kutoka katika bendi hiyo
Mashabiki wakicheza kwa kuzungusha duala hapa ni kukata mauno mpaka kieleweke
Mwimbaji wa Bendi ya Skylight, Sony Masamba akiimba na kucheza na mashabi wao waliofika kijione mziki mkubwa wa bendi ya Skylight ndani ya Kiota Cha Escape One
Mashabiki na wapendi wa bandi wakiendelea kuserebuka na mziki mkali kutoka katika bendi ya Skylight maana tunasema usisubili kupewa raha jipe raha mwenyewe
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...