Ni mwaka wa 16 tangu Bata wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipoiaga dunia (Actoba 14,1999) ambapo hii leo Watanzania wote wanaungana pamoja kwa ajili ya kutafakari miaka hiyo 16 bila uwepo wa mwasisi wa Taifa lao.
Kwa kutambua umuhimu wa siku hii, Mamiz Grand Resort na Mamiz Gate Way zilizopo Mkolani Jijini Mwanza wamekuandalia mazingira mazuri kwa ajili ya mapumziko yako wewe pamoja na ndugu, jamaa na marafiki zako.
R.I.P MWL.NYERERE.
Kwa wale wapenzi wa muziki wa band, burudani itadondoshwa katika Kiota cha Mamiz Gate Way iliyopo jirani kabisa na Mamiz Grand Resort Mkolani Jijini Mwanza.
Chakula bora na safi kinapatikana Mamiz Grand Resort na Mamiz Gate Way, Mkolani Jijini Mwanza
Chakula bora na safi kinapatikana Mamiz Grand Resort na Mamiz Gate Way, Mkolani Jijini Mwanza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...