Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe na kufunua kitambaa katika jiwe la msingi kuzindua rasmi mtambo wa kufua umeme kutokana na Gesi Asilia huko Kinyerezi jijini Dar es Salaam.Mradi huo umejengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 400.Kushoto ni mwakilishi wa benki ya African Development Bank(ADB) Bi Tonia Kandiero na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO Bwana Felchesmi Mramba.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea mradi wa kufua umeme kutokana na gesi asilia muda mfupi baada ya kuzindua mradi huo huko Kinyerezi jijini Dar es Salaam leo.
(Picha na Freddy Maro) 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hii ni hatua kubwa ya maendeleo ya kufikisha nishati karibu na inapowezwa kusambazwa kwa matumizi ya watanzania..

    ReplyDelete
  2. Serikali ya ccm ipo na itaendelea kuwepo daima. ukawa mulie tuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...