RATIBA YA MSIBA WA MAREHEMU MHE. DKT ABDALLAH
OMARY KIGODA (MB) WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA TAREHE 13 - 15 OKTOBA, 2015.
JUMATANO
TAREHE 14 OKTOBA, 2015
NYUMBANI KWA MAREHEMU – UPANGA
Muda
|
Tukio
|
Mhusika
|
Saa
1.00 – 2.00Asubuhi
|
Chai
|
Wote
Mshereheshaji
|
Saa
6.00 – 7.00 Mchana
|
Chakula
cha Mchana
|
Wanafamilia
na Waombolezaji
|
Saa
8.30 – 9.00 Mchana
|
Viongozi
na Waombolezaji kuwasili JNIA Termibal I
|
Viongozi/Waombolezaji
|
Saa
9.00– 9.30Asubuhi
|
Mwili
wa Marehemu kuwasili Uwanja wa Ndege Terminal I.
|
Kamati
ya Kupokea Mwili Dar/ Familia ya Marehemu
|
Saa
10.30.Jioni
|
Safari
kuelekea Hospitali ya Lugalo
|
Waombolezaji
|
ALHAMIS, TAREHE 15 OKTOBA, 2015 - VIWANJA
VYA KARIMJEE
|
||
Saa
12.00 Asubuhi
|
Mwili
kuchukuliwa Hospitali ya Lugalo na kupelekwa Msikitini Upanga
|
Kamati
ya Mazishi na Wanandugu
|
Saa1.30
- 1.50 Asubuhi
|
Waombolezaji
kuwasili katika Viwanja vya Karimjee
|
Kamati
ya Mazishi
|
Saa
1.10-2.00 Asubuhi
|
Mawaziri/Naibu
Mawaziri /Watendaji Wakuu wa Wizara na Taasisi mbalimbali kuwasili katika
Viwanja vya Karimjee
|
Kamati
ya Mazishi
|
Saa
2.00 – 2.15 Asubuhi
|
Viongozi
Wakuu wa Serikali kuwasili
|
Kamati
ya Mazishi na Mshehereshaji
|
Saa
2.15 – 2.25 Asaubuhi
|
Mwili
wa Marehemu kuwasili viwanja vya Karimjee
|
Kamati
ya Mazishi na Mshehereshaji
|
Saa
2.25 –2.35 Asubuhi
|
Wasifu
wa Marehemu kusomwa
|
Katibu
Mkuu – Wizara ya Viwanda na Biashara
|
Saa
2.35 – 3.15 Asubuhi
|
Salama
za Makundi mbalimbali
·
Salamu kutoka Makundi mbalimbali
·
Salamu kutoka Mwakilishi wa Chama Tawala
·
Salamu kutoka kwa Spika
Salamu
za Serikali
|
Makundi
mengine mbalimbali
|
Saa
3.15 – 3.25
|
Viongozi
wa Kitaifa kuondoka
|
Kamati
ya Mazishi
|
Saa
3.30
|
Mwili
wa marehemu kuondoka Dar es salaam kuelekea Handeni Tanga
|
Kamati
ya Mazishi
|
NYUMBANI HANDENI TANGA
|
||
Saa
5.00 Asubuhi – 7.00 Mchana
|
Waombolezaji
kuwasili nyumbani kwa marehemu Handeni Tanga
|
Kamati
ya Mazishi
|
Saa
7.00 – 7.25 Mchana
|
Viongozi
mbalimbali kuwasili nyumbani kwa marehemu
|
Kamati
ya mazishi
|
Saa
7. 30
|
Mwili
wa Marehe kuwasili nyumbani kwa marehemu Handeni
|
Kamati
ya mazishi
|
Saa
8.00 – 9.00 mchana
|
Chakula
cha mchana
|
Kamati
ya mazishi
|
Saa
9.00 – 9.10
|
Wasifu
wa Marehemu kusomwa
|
Katibu
Mkuu – Wizara ya Viwanda na Biashara
|
Saa
9.10 – 10.00
|
Salama
za Makundi mbalimbali
·
Salamu kutoka Makundi mbalimbali
·
Salamu kutoka Mwakilishi wa Chama Tawala
·
Salamu kutoka kwa Spika
·
Salamu za Serikali
|
Makundi
mengine mbalimbali
|
Saa
10.00 – 10.10 Jioni
|
Sala
ya Maiti
|
Sheikh/Imam
|
Saa
10.10 – 10.30 Jioni
|
Mazishi
na Nasaha
|
Sheikh/Imam
|
Saa
10.30-10.35 Jioni
|
Neno
la Shukrani
|
Msemaji
wa Familia
|
Saa
10.35-10.45 Jioni
|
Viongozi
Kuondoka
|
Kamati
ya Mazishi
|
Saa
10.45 Alasiri
|
Waombolezaji
kuondoka makaburini
|
Wote
|
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...