Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hongera rais mteule na mgombea mwenza wako, CCM Oyeeeeee, Tanzania Oyeeeee, Watanzania Oyeeee, wabunge wote walioshind Oyeeee, Madiwani mlioshinda na nyinyi oyeeee bila kujali mnatoka vyama gani.

    Hata wale ambao hawakuchaguliwa Oyeee, mchakato Bara umeisha tusiangalieni vibaya wala kulaumiana kwa hali yoyote tujenge Tanzania yetu yenye umoja na utengamano. Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu. Tuchague umoja.

    Ni mtanzania nikiwa safari ya muda mfupi Marekani..lakini naitakia mema nchi yangu

    ReplyDelete
  2. mie ni mtanzania naipenda tanzania hongera sana Rais wangu. sito thubutu kusema tanzania sio mama yangu wala baba yangu kwa kukosa kile ninacho kusudia au kwa shinikizo fulani mimi ni mtanzania nitabaki kuwa mtanzania tu sitoona ajabu kuona aliekusudia kupa kitu fulani anapokosa akisema bila aibu kuwa tanzania sio mama yangu wala baba yangu ila laana itakuwa inatembea nawe tuwe wazalendo ukikataliwa jitambue nasio wewe wa kwanza kukataliwa na mbona umekataliwa mara nyingi. angalia umepandikiza chuki watu hawaelewani umeleta umimi kweli? hii laana hii imekuvaa watu wametengena wanachukiana wanatukakana ovyo haijalishi umri kweli ? tanzania ninayoijua hatukuwa hivyo siasa wakati wake watu wanarumbana na zikiisha watu wanapeana mikono wanacheka vile walichokuwa wanagombea ni uhongozi wa kuhongoza binadamu na wala sio mashetani,nakuwa na wakati mgumu kuelewa huyu ndugu yetu dhamira yake ni nini? anyway Mungu Ibariki Tanzania Yetu na Watu Wake ulione hili kuwa ni tatizo na ulifanyie kazi , tushilikiane wote ili tuijenge tanzania yetu na sivinginevyo. Amani ni mshikamano watanzania ni wamoja tuache nafsi za hao wachache tumuunge mkono Rais wetu ili tupate maendeleo ya kweli - Amen

    ReplyDelete
  3. ASANTENI TOT MMEHAMASISHA WANA CCM KWA WIMBO MZURI KABISA, NAMBA TUMEISOMA..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...