Makamo mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi  aliyesimamishwa alalamikia hatua ya kusimamishwa kwake huku akisema kikao kilicho muondoa hakikuwa halali.https://youtu.be/KvW4KjwwZU0
Katibu mkuu wa CCM taifa Bw.Kinana awatetea wakulima wa kahawa mkoani Kagera huku akisisitiza wataruhusiwa kuuza kahawa popote ndani na nje ya nchi.https://youtu.be/OXvJdTsB0rI
Aliyekuwa kada wa CCM Mzee Kingunge amnadi Lowassa katika kampeni yake huko mkoani Arusha. https://youtu.be/HNgCNpvrRMw
Tume ya taifa ya Uchaguzi NEC yafafanua juu ya vituo vya kupiga kura nchi nzima huku ikikemea madai ya baadhi ya vyama vya upinzani. https://youtu.be/iha28AbguJ0
Ongezeko la wagonjwa wa saratani na gharama kubwa za kutibu ugonjwa huo vyaelezwa kuwa moja ya sababu zinazo changia kushusha uchumi wan chi.
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini TAKUKURU yakamata shahada 104 za kupigia kura zikiwa zimeuzwa. https://youtu.be/KkG41vh4wsE
Wakulima wa zao la korosho mkoani Mtwara walalamikia bei ndogo ya zao la Korosho kufuatia kutumia gharama kubwa katika uzalishaji. https://youtu.be/unh-7yw8bs4
Walemavu mkoani Tabora wavilalamikia vyama vya siasa kwa kushindwa kutumia wataalamu wa lugha za alama ili waweze kupata kinacho zungumzwa.https://youtu.be/CsXdgmSOqxw
Katika hali isiyo tegemewa Agustino Mrema  asimamisha msafara wa Dr.Magufuli huku akiwataka  wakazi wa vunjo kumpa kura za uraisi . https://youtu.be/b5kKoB2buGM
TBC: Rais mstaafu wa Tanzania Benjamin William Mkapa aipongeza serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali katika kuleta maendeleo nchini.https://youtu.be/Lwr3mgtbyF0
TBC: Waziri wa nishati na madini awaomba radhi watanzania kutokana na mgao wa umeme unaoendelea hivi sasa katika baadhi ya maeneo nchini.https://youtu.be/IAvJ3Fi0szU
Tbc: Mgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo asema akichaguliwa kua rais ataboresha sekta ya kilimo ili iwe ya kisasa kwani yatoa ajira nyingi nchini.https://youtu.be/A87PCRYo9oA
TBC: Mfumuko wa bei nchini washuka kutokana na upatikanaji wa  chakula kwa wingi pamoja na kushuka kwa bei ya mafuta. https://youtu.be/R8_oKNW9_pQ
TBC: Bondia Thomas Mashali atamba kumpiga mpinzani wake bondia Francis Cheka katika pambano litalofanyika mkoani Morogoro mwezi wa 12 tarehe 25.https://youtu.be/RbG0IliKWQ8   
Ch 10: Shirika la umeme Tanzania lazima mitambo ya kuzalisha umeme katika bwawa la Mtera baada ya kina cha maji kupungua na kua chini ya wastani.https://youtu.be/Yj7yb3bRIGc
Ch 10: Makamu mwenyekiti wa NCCR mageuzi apinga utaratibu uliotumika kumuondoa madarakani kwa madai ya kutumika kukihujumu chama hicho.https://youtu.be/TCs-OSjOmc8
Ch 10: Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete ateuliwa kuwa mjumbe wa tume ya kimataifa ya kuchunguza jinsi ya kugharamia elimu duniani. https://youtu.be/etJkHj-T1lk
CH 10: Serikali yasema itaendelea kushirikiana na sekta binafsi ili kuwezesha uboreshaji wa miradi mbalimbali kimaendeleo. https://youtu.be/mb9JpWucKNc
Ch 10: Kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom yafungua duka lake jipya maeneo ya Ilala kwa ajili ya kuongeza huduma kwa wateja.https://youtu.be/PGdb_PXdmI4
Ch 10: TFF yaingia mkataba wa miaka 3 na kampuni ya Sahara Media wenye thamani ya shilingi milioni450 kwa udhamini wa ligi daraja lakwanza. https://youtu.be/MU9j-ra7758
Ch 10: Kikundi maarufu cha kucheza nchini T-Afrika chanyakua ubingwa wa shindano la Sakata Mashariki nchini Kenya. https://youtu.be/eLMapjMKYsQ

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...