Wakazi Wa Kata Ya Saranga jijini Dar Jana wamefanikiwa kupiga kura ya mbunge na Raisi baada ya kuahirishwa kwa zoezi hilo Oktoba 25. https://youtu.be/vIOP_RKkwuU
Matokeo ya uchaguzi katika jimbo la Mtwara mjini Yametangazwa na msimamizi wa jimbo hilo huku kukiwa na hali ya Vurugu. https://youtu.be/CY2Y2WnYkaM
Jeshi la polisi Visiwani Zanzibar limelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya wafuasi wa CUF waliokusanyika katika ofisi za CUF. https://youtu.be/944jzWlWh6k
Mwenyekiti wa Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi NEC Jaji. Damian Lubuva akemea baadhi ya watu wanaotangza Matokeo katika Mitandao ya Kijamii. https://youtu.be/Zg-spuDs1Ks
Haya ndiyo matokeo ya Uchaguzi mkuu ya Uraisi Mkoani Pwani jimbo la Chalinze ambapo mgombea Uraisi CCM akipata asilimia 69.70 na Lowassa akipata asilimia 28.53. https://youtu.be/HsdD_2j3w_8
Haya ndio Matokeo halali ya Uraisi Mkoa wa Kusini Pemba Jimbo la Chwanga visiwani Zanzibar. https://youtu.be/OKEVQQ_WZno
haya ndio matokeo halali ya Nafasi Ya Uraisi Mkoa Wa Mjini Magharibi jimbo la Chumbuni visiwani Zanzibar. https://youtu.be/u6lwnYXuBSI
Haya ndio matokeo halali ya Nafasi ya Uraisi mkoa wa Mbeya Jimbo la Ileje kama ilivyotangazwa na Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi NEC. https://youtu.be/13vTh4vVWXQ
Oscar Rwegasira Mukasa wa CCM aibuka mshindi wa nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Biharamulo Magharibi. https://youtu.be/q_LAhUNBeSc
Musoma mjini jimbo lililokuwa likishikiliwa na Vicent Nyerere limetwaliwa na Ndg. Vedastus Manyinyi wa CCM kwa kishindo cha asilimia 55.https://youtu.be/oKt6jChBHSs
Zitto Zuberi Kabwe aibuka kidedea kwa ushindi wa asilimia 52 katika jimbo la Kigoma Mjini Uchaguzi mkuu. https://youtu.be/W3rx9Cw969g
Ndg. Daniel Nsanzugwanko ambwaga Moses Machali wa ACT kwa asilimia 52 na kunyakua jimbo la Kasulu mjini mkoani kigoma. https://youtu.be/zawE1FlbXfk
Haya ndio matokeo halali ya Nafasi ya Uraisi mkoa wa Kaskazini Unguja Jimbo la Kijini kama ilivyotangazwa na Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi NEC. https://youtu.be/BT_9iEvy8tA
Haya ndio matokeo halali ya Nafasi ya Uraisi mkoa wa Mkoa wa Tanga Jimbo la Kilindi kama ilivyotangazwa na Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi NEC.https://youtu.be/NQFWV2JWQd8
Haya ndio matokeo halali ya Nafasi ya Uraisi Mkoa Wa Tanga Jimbo La Korogwe Mjini Tanga kama ilivyotangazwa na Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi NEC.https://youtu.be/AH3_q7X8Gi4
Haya ndio matokeo halali ya Nafasi ya Uraisi Mkoa Wa Mjini Magharibi Kwahani kama ilivyotangazwa na Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi NEC. https://youtu.be/VT8Q3C7RwZI
Tume ya taifa ya uchaguzi NEC leo itaendelea kutangaza matokeo ya uraisi katika ngazi ya majimbo nchini kote kuanzia saa 3 asubuhi. https://youtu.be/AEOM3qkVvTU
Matokeo Ya Uchaguzi Mkuu Uliofanyika oktoba 25 yameendelea kutangazwa huku yakionesha mchuano mkali kati Chama Cha CCM na CHADEMA.https://youtu.be/UnAp-4RP9C8
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...