Mgeni rasmi Angetile Osiah akizugumza katika Tamasha la Kandanda Day 2015, hufanyika kila mwaka mwezi oktoba kwa kuzikutanisha Team Ismail (Blue Jersey)na Dizo Moja (White Jersey) lilofanyika katika viwanja vya TCC Sigara, leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Bin Slum Tyres, Nassor Binslum, akionesha makeke yake uwanjani wakati wa Tamasha hilo leo jijini Dar es Salaam.
Wachezaji wa timu Ismail wakionyesha furaha ya ushindi Tamasha hilo leo jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi Angetile Osiah akiwa na wanakamati wa timu katika picha ya pamoja katika Tamasha la Kandanda Day 2015, Lilofanyika katika viwanja vya TCC Sigara, leo jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...