Wakati wananchi tukiendelea kufuatilia matokeo ya uchaguzi mkuu wa kuchagua viongozi wa awamu ya tano, ni vema basi kujikumbusha yale ambayo yaliyofanyika katika serikali ya awamu ya nne ya Rais anayemaliza muda Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mtoto wa Msoga.
Kwa kupitia njia ya muziki bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni chini ya uongozi wake mtunzi gwiji kamanda Ras Makunja wameshusha nyimbo mbili za kumuaga Rais Jakaya Kikwete na kuyaimba baadhi ya aliyoyafanya katika awamu ya Nne.
Pata burudani kwa kusikiliza nyimbo hizi at:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Babu kubwa muziki na ujumbe mzito asanteni sana maafande wa ngoma afrika nchini na kamanda majununi ras makunja

    ReplyDelete
  2. Ngoma Africa band aka ffu-ughabuni muziki mtamu lakini naona kama kawaida ya kamanda tungo zake lazima kuwe na madongo mazito ndani ,kuna mistari inasikika
    "Enyi mlio mbali" "enyi mlio nje" msione baridi mje JK kafanya mambo moto moto" vijembe na midongo hii anawarushia wenziwe walio ughaibuni? Kamanda ras makunja mwanamuziki mkubwa mtunzi mzuri mwenye kiwango lakini kaka midongo!

    ReplyDelete
  3. Kamanda mkuu Ras makunja kiongozi wa watoto wa mbwa wazuvendi wa Ngoma Afrika asanteni kazi nzuri sana

    ReplyDelete
  4. huu muziki sio wa kitoto kidogo milio ya mitutu ya wagagagigikoko inasikika kisindikiza ujumbe wa mkuu wao asiyefilisika mistari kamanda ras makunja

    ReplyDelete
  5. Viumbe wa ajabu Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibuni au viumbe wa ajabu anunnaki alien bin watoto wa mbwa kazi yenu tunaikubali

    ReplyDelete
  6. kweli si mchezo kwata wajamaa hawa ffu,wakiamuaga kutingisha wanatingisha kweli hakuna wa kupest,hongereni sana kazi nzuri kamanda

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...