UNIVERSAL
AUCTION CENTRE Kwa idhini waliyopewa na Ubalozi wa Marekani watauza kwa
mnada wa hadhara magari, fork lift, makontena na vifaa vya electronic tarehe 17
October, 2015 Jumamosi saa 4:00 asubuhi. Mnada utafanyika Golden Resort Sinza, Lion Street.
MALI ZITAKAZOUZWA: Computer sets, Toshiba laptop, Notebook
(Laptop), Colour Laser printer, HP Design jet plotter, Xerox Photocopy m/c,
Canon Photocopy m/c, Mashuatec Photocopy m/c, OCE Photocopy m/c, Fax machines,
UPS, Electric typewriters, Optical Scanning machines, Shredding machines na vingine
vingi
Magari, Forklift na makontena yatakayouzwa:
Idadi
|
Aina
|
Model
|
Mwaka
|
Ushuru
|
1
|
Toyota Land Cruiser
S/ Wagon
|
1HZ Engine Diesel
|
2004
|
Bado
|
3
|
Toyota Hilux P/Up Double Cabin
|
3L Engine Diesel
|
2002/ 2003
|
Bado
|
1
|
Ford Ranger P/Up Double Cabin
|
WLAT Engine
Diesel
|
2003
|
Bado
|
1
|
Fuso Truck 3 Tons
|
FK-125H Eng.
Diesel
|
2004
|
Bado
|
1
|
Isuzu Truck 7 Tons
|
FTR 33 Engine Diesel
|
2011
|
Bado
|
1
|
Fork lift 3 Tons
|
4x4 Diesel Engine
|
1994
|
Bado
|
1
|
Hyster Fork lift 2 Tons
|
Electric Powered
|
2012
|
Bado
|
2
|
Empty Containers
|
20 Feets
|
1993 / 1995
|
Bado
|
Mali zote zinaweza kukaguliwa Golden Resort Sinza,Lion Street tarehe 14 mpaka
16 October, 2015 kuanzia saa 3.00
asubuhi mpaka saa 11.00 jioni.
MASHARTI YA MNADA:
- Mnunuzi wa vifaa vya electronic atatakiwa kulipa
malipo yote kwa keshia (cashier). Na mnunuzi wa gari, fork lift na kontena
atatakiwa kulipa 25% pale pale na salio lilipwe ndani ya siku 5 za kazi,
ukishindwa kulipa kwa muda huo gari, fork lift na kontena litauzwa kwa
mshindi mwingine aliyefwatia na
dhamana haitarudishwa.
- Mali zote
zitauzwa kama zilivyo bila dhamana.
- Mnunuzi
atawajibika kulipa ushuru na kodi zingine zote.
- Mali yote
iliyouzwa itatakiwa kuondolewa baada ya kulipa malipo yote pamoja na kodi
.
Kwa maelezo
zaidi waone:
UNIVERSAL AUCTION CENTRE
SIMU NA: 0754-284
926, 0757 284 926 Email :
universalauction@hotamail.com
DAR ES SALAAM.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...