Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni October 15, 2015.
SIMUtv: Michuano maalum ya gofu kufanyika jumamosi hii katika viwanja vya Lugalo jijini Dar es Salaam kwalengo ya kuunda kikosi cha taifa; https://youtu.be/yLAoH5MvQ2U
SIMUtv: Waangalizi wa Uchaguzi kutoka SADC wawataka watanzania kuwa watulivu kwa kufuata sheria na kanuni za nchi kuelekea uchaguzi mkuu. https://youtu.be/BOGEYz5goVE
SIMUtv: Watanzania waombwa kudumisha amani, umoja na mshikamano iliyoachwa na muasisi wa taifa Hili Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere. https://youtu.be/im-nOHsCoAY
SIMUtv: Raisi Jakaya Kikwete awataka watanzania kutunza shahada zao za kupigia kura ili kusiriki kikamilifu katika upigaji kura Oktoba 25. https://youtu.be/tLHVjuI4ai8
SIMUtv: Baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam wamesema ili kumuenzi baba wa Taifa, viongozi na wananchi wanapaswa Kupinga ukabila na udini. https://youtu.be/ettrrIp1zi4
SIMUtv: Mwili wa aliyekuwa waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt. Abdallah Kigoda umewasili jana Nchini kutokea Nchini India. https://youtu.be/8EZt57Ehw-A
SIMUtv: Tume ya Taifa Ya Uchaguzi NEC imezindua kituo cha mawasiliano kitakachosaidia wadau wa uchaguzi kupata elimu ya mpiga Kura. https://youtu.be/KazdhuLzaLM
SIMUtv: Viongozi mbalimbali waungana na wananchi kumuaga aliyekuwa waziri wa viwanda na biashara DR.Abdallah Kigoda viwanja vya Karemjee https://youtu.be/A3JSkTe9HjQ
SIMUtv: Wadau wa biashara na viwanda nchini watoa salamu za rambirambi kwa familiya ya Dr.Kigoda na wananchi kwa ujumla; https://youtu.be/OyllSiz7MGk
SIMUtv: Anne Makinda aeleza mchango wa hayati Dr.Kigoda katika kamati ya uchumi na fedha pamoja na kulinda haki za watoto https://youtu.be/JF6feNTGnDs
SIMUtv: Waziri wa mambo ya ndani Mh.Mathias Chikawae kwa niaba ya Serikali atoa salamu za rambirambi kwa waombolezaji https://youtu.be/cONLtPUFZcw
SIMUtv: Asha Kigoda, msemaji wa familia ya Dr.Kigoda atoa maneno ya shukrani kwa serikali na kueleza jinsi safari ugonjwa ya waziri ilivyokuwa https://youtu.be/AAjnwfWSArk
SIMUtv: Tambau mambo ya kufanya kabla na baada ya kumalizika kwa uchaguzi Mkuu ambapo zimesalia takribani siku 9 kwa uchaguzi huo kufanyika https://youtu.be/Q6SZSWJaogc
SIMUtv: Yajue mafanikio ya miaka mitano tangu kuanzishwa kwa mradi wa kilimo wa matrekta wa suma JKT katika kuboresha sekta ya kilimo Nchini https://youtu.be/SdPfaBfR1PE
SIMUtv: Yajue maswali ambayo huulizwa kwa wingi na wananchi kwa Dokta Mwaka kutokana na magojwa mbalimbali yakiwa na ufafanuzi wake pia https://youtu.be/qOdQy8Ho3nI
SIMUtv: Fuatilia mada inayozungumzia elimu ya mpiga kura zikiwa zimesalia siku chache kuelekea uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25: https://youtu.be/JCuUZf32tSA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...