Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni Asubuhi Hii October 21, 2015.
SIMUtv: Tanzania imetajwa kutofanya vizuri katika utoaji wa huduma kwa wazee katika Nyanja mbalimbali hususani Afya na Mazingira. https://youtu.be/cnYXI1-elnI
SIMUtv: Rais Jakaya Kikwete ameliagiza Jeshi la Polisi nchi kufanya kazi kwa weledi ili kuhakikisha Taifa linamaliza uchaguzi Mkuu wa Amani na utulivu https://youtu.be/ktVuerobzYY
SIMUtv: Mgombea Urais CCM Dkt. John Magufuli awaondoa hofu wakulima wa zao la Pamba na kuahidi kuongeza bei ya zao hilo kwa wanunuzi. https://youtu.be/L2PB7R2F41c
SIMUtv: Serikali visiwani Zanzibar Imeyakaribisha makampuni toka mataifa Mbalimbali kuwekeza mitaji katika mji wa Fumba ili kutoa fursa za ajira kwa Vijana https://youtu.be/CJSDknBLDHk
SIMUtv: Mamlaka Ya chakula na Dawa TFDA kanda ya ziwa imeharibu bidhaa bandia za Pombe aina ya Viroba zenye thamani ya zaidi ya Mil. 80. https://youtu.be/rwz7ek0zWNk
SIMUtv: Mkuu wa wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora awataka wakazi wa wilaya hiyo wenye sifa za kupiga kura kujitokeza kwa Kuwa Hali ya ulinzi imeimarika. https://youtu.be/sOIK46Lp-3E
SIMUtv: Ligi kuu Tanzania bara yasimamishwa kwa muda na kupisha maandalizi ya timu ya taifa katika michezo ya kuwania kufuzu kombe la dunia; https://youtu.be/hkGFA9Hs-e0
SIMUtv: Nyota wa kimataifa wa timu ya taifa ya Nigeria Emanuel Eminike atangaza rasmi kustaafu kuchezea timu hiyo;https://youtu.be/UMYdQynkcbQ
SIMUtv: Wakazi wa kijiji cha bendera wilayani Same Mkoani Kilimanjaro Wameombwa kuweka kando tofauti zao za kisiasa katika kujadili mgogoro wa Mpaka. https://youtu.be/vepp3pVgclU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...