Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni October 26, 2015.
SIMUtv: Waangalizi wa ndani wa uchaguzi ambao ni muungano wa Asasi Mbili CEMOT umetoa matokeo ya awali muda mchache baada ya kupiga kura.
SIMUtv: Tume ya Taifa Ya Uchaguzi Zanzibar imetangaza matokeo rasmi ya majimbo 2 ya ubunge na madiwani katika majimbo ya Fuoni Na Kiembesamaki. https://youtu.be/YKGnxP4NJ2E
SIMUtv: Timu ya Manchester City imerejea kileleni katika ligi kuu ya England baada ya Kutoka suluhu na mahasimu wao Manchester United. https://youtu.be/u171GDQ5STY
SIMUtv: Wananchi wameombwa kuchangia timu ya walemavu ya mchezo wa baisikeli ili kuwawezesha kushiriki mashindano yatakayofanyika afrika kusini; https://youtu.be/9JHWqOV6_0w
SIMUtv: Hii ndio ripoti kuu ya NEC juu ya matokeo ya uchaguzi wa kura zilizopigwa jana katika uchaguzi mkuu.https://youtu.be/yIgojd11GiM
SIMUtv: Hii ndio ripoti kuu ya NEC juu ya matokeo ya uchaguzi wa kura zilizopigwa jana katika uchaguzi mkuu Jimbo La Paje. https://youtu.be/gwVbujPU-bY
SIMUtv: Hii ndio ripoti kuu ya NEC juu ya matokeo ya uchaguzi wa kura zilizopigwa jana katika uchaguzi mkuu Jimbo La Lulindi Mtwara. https://youtu.be/7xUpGeK5LHY
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...