Magufuli azidi kungara katika matokeo ya awali katika majimbo 13. Mawaziri waanguka majimboni. Yote haya utayapata katika magazeti;
Mzee ‘sawasawa’ ajitangaza mshindi Zanzibar, Polisi yakamata 169 kwa kuingilia tume. Pata dondoo za habari za magazetini; https://youtu.be/mGoDo1XC_Ts
Polisi wazima vurugu Zanzibar. Aeleza sababu ya matokeo jimbo la Ukonga kuchelewa. Pata undani wa habari hizi katika magazeti; https://youtu.be/3jfyH1rEnjQ
Ulinzi waimarishwa Zanzibar, wasimamizi wa uchaguzi wanusurika kifo. Pitia dondoo za magazeti hapa Simu.tv;https://youtu.be/n_vmWxE0dyM
Pitia udondozi wa habari kemukemu za kisiasa zilizotawala magazeti ya leo Octoba 27.2015 hapa Simu.tv;https://youtu.be/ntk9bzkfQKE
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...