Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ndugu Kailima Ramadhani
amefafanua jinsi mabavyo Tume ya taifa ya uchaguzi ilivyo gawanya vituo
vya wapiga kura kote nchini. Katika ufafanuzi huo amefafanua mambo makuu
Mawili.
1. Namna ambayo siyo sahihi ya kuhesabu vituo vya wapiga
KURA kama walivyo fafamua baadhi ya watu, Ambayo ni namna ya KUPOTOSHA
NA NI UWONGO, na
2. Namna SAHIHI ya kuhesabu vituo kama tume ye taifa ya uchaguzi ilivyo hesabu. Nia hii inazingatia mambo yafuatayo.
i). KUTUO HAKITAZIDI WATU 450
ii). KITUO KINAWEZA KUWA NA IDADI CHINI YA WATU 450
ILI WATU WALIOJIANDIKISHA KITUO KIMOJA WASIHAMISHWE KWENDA KUJAZIA ENEO JINGINE.
Itakuwa hivi.
Endapo kuna eneo ambalo watu waliojiandikisha ni 1900 Tume ya taifa ya uchaguzi itagawanya watu kama ifuatavyo:-
450+450+450 = 1300
1900-1300 = 550
550 gawanya kwa 2 = 275
KWA HIYO MAHALI PENYE WAPIGA KURA 1900
PATAKUWA NA VITUO VITANO (5)
1. KITUO CHA KWANZA WATU 450
2. KITUO CHA PILI WATU 450
3. KITUO CHA TATU WATU 450
4. KITUO CHA NNE WATU 275
5. KITUO CHA TANO WATU 275
JUMLA 1900
ZINGATIA
Kutokana na kuwepo kwa vituo vyenye idadi ya watu chini ya 450 kumefanya idadi ya vituo iwe kubwa.
Rekebisha maandishi iwe hivi
ReplyDelete450+450+450=1350
pia
1900-1350=550
Asante.
David-Kurasini
Huyu mtu wa NEC, asitufanya sisi hatujui hesabu.
ReplyDeletesimple arthematic;
kama ameandisha watu 23,700,000
vituo vya kupigia kura; 72,000
Anatakiwa tu kuchukua
Watu 23,700,000 kugawa kwa Vituo 72,000 ni sawa na watu 329.1666666667
kwa kukaribisha namba ya karibu hiyo Sawa na watu 330 kwa kila kituo.
YEYE HIYO 450 AMEITOA WAPI?