MATOKEO YALIYOTANGAZWA OKTOBA 27,2015 USIKU


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Walioshinda na mnaoendelea kutangazwa washindi katika viti vya ubunge na udiwani kutok vyama mbalimbali tunawapongeza wote. Wananchi wameongea, namba tumezisoma, wengi wamepewa, hongera sana kwa ushindi.

    Uchaguzi ulikuwa na upinzani mkali haukuwa rahisi wala na uhakika kama siku za nyuma. Wengi wamejitokeza kugombea na tutakuwa na viongozi wapya wengi bungeni na madiwani.

    Walioshindwa pia mnastahili pongezi kwa kuingia kwenye uchaguzi mliyojifunza mmejifunza, mjipange kuendelea kutoa mchango wenu mkishirikiana na serikali itakayokuwa madarakani. Tujitie moyo tuendelee na shughuli nyingine na kujitayarisha kushiriki chaguzi zijazo.

    Wasiorishika na matokeo nenda mahakamani, usilete vurugu. Tanzania Oyeee.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...