handisi Mshauri wa Mradi wa ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songwe, Khalil Jadallah akibadilishana mawazo na Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Songwe, Mbeya, Khamisi Amiri wakati wa ziara ya Maofisa Wanadhimu wa Jeshi la ulinzi la Wananchi wa chuo cha Arusha (College of Senior Commandants- CSC) katiika kiwanja hicho Oktoba 15 kwa ajili ya kujifunza masuala ya usafiri wa anga.
Naibu Mkuu wa Chuo cha Maofisa Wanadhimu wa Jeshi la ulinzi la Wananchi wa chuo cha Arusha (College of Senior Commandants- CSC), Meja Jenerali Alfred Kapinga (kushoto) akisaini kitabu cha wageni alipowasili kwenye ofisi ya Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Songwe, Mbeya jana Oktoba 15 na ujumbe wake wa maofisa 30 wa chuo hicho kwa ajili ya kujifunza masuala ya usafiri wa anga.
Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Songwe, Mbeya, Khamisi Amiri akiwaongoza Maofisa Wanadhimu wa Jeshi la ulinzi la Wananchi wa chuo cha CSC Arusha (College of Senior Commandants- CSC) kutembelea kiwanja hicho Oktoba 15 kwa ajili ya kujifunza masuala ya usafiri wa anga.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...