Wapiga kura kituo cha Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam wakiwajibika kwa utulivu na amani asubuhi hii.
Utulivu na amani watawala kituo cha Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam
Nidhamu, utulivu, uvumilivu na amani vyatawala kila sehemu. Hapa ni Kibaha Machinjioni, mkoa wa Pwani
![]() |
Hapa ni Kibaha Machinjioni, mkoa wa Pwani |
Pongezi sana tujitahidini kumalizia hilo zoezi la kupiga kura kwa amani kabisa kwani licha ya salama wetu bali karibu dunia zima inaangalia waafrica watanzania watafanya nini au ndio yale yale ya vurugu kama nchi nyengine za Africa.
ReplyDeleteSisi wengine tupo nje ila wekeni historia ili dunia ijue kua tz hatupendi vagi kama nchi zingine
ReplyDeleteMUNGU IBARIKI TANZANIA
ReplyDeleteInapendeza na kutia moyo kuona uelewa mpana uliopo na uliojionyesha kwa wananchi wa Tanzania katika kulikamilisha zoezi hili muhimu na tukio pekee la kihisitoria nchini. Kusema kweli tumeweza kuona tangu kampeni suala zima la amani na utulivu limekuwa likidumishwa na hata leo hii siku ya upigaji kura hali ingali shwari kitu ambacho kinaashiria muelekeo mzuri wa kuwepo kwa utulivu na amani mpaka hapo zoezi hilo litakapomalizika na hatimae kutangazwa rasmi kwa mshindi ambae ndiye atakaetuongoza tena kwa miaka mitano ijayo. In Sha Allah. AMANI NA UTULIVU VIDUMU TANZANIA.
ReplyDeleteVyema kabisa watanzania wamejifunza kupanga foleni kwa ustaarabu,na uchaguzi upite salama, lakini mbona naona wanaume ndo wengi! wanawake wapo wapi?
ReplyDelete