Ankal alipohudhuria mahafali ya mjomba wake katika Chuo cha Ukutubi cha Bagamoyo kilichopo eneo la Ukuni mkoa wa Pwani alibahatika kukutana na wadau wake wakubwa akiwem0 mwalimu wa sanaa katika Taasisi ya Sanaa Bagamoyo (TASUBA) na kupata nao selfie kwa kila staili. Amewaahidi kuwatembelea chuoni na kubadilishana nao uzoefu katika fani ya upigaji picha na mbinu zingine za kupata picha nzuri
Ankal na wadau wa TASUBA wakila Selfie
Selfie ya chini
Air Force One ikiwa imetia nanga katika ufukwe wa Bagamoyo. Ankal akaomba na kukubaliwa kupata nayo taswira. Hakika huu mji mkongwe na wa kihistoria ukifanyiwa kazi utakuwa kivutio kikubwa mno cha watalii. Hebu wahusika kazeni buti Bagamoyo ifufuke upya....
Hapo chuoni umeona mimea iliyopandwa kwa wingi. Kama bado upo hebu nebu nenda karibu na ufukwe uone mimea yenye majani saba kwa wingi. Nilifika hapo nikashangaa kabisa sijui iliota yenyewe ama vipi
ReplyDelete