Ankal akila pozi na Mbunge wa Mafinga Mjini Mhe. Cosato Chumi kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Globu ya Jamii inampongea sana Mhe. Chumi kwa ushindi wa kishindo alioupata katika kinyang'anyiro cha jimbo hilo, na kumtakia mafanikio katika kuendeleza jimbo katika miaka mitano ijayo. Pia inampongeza si tu kwa kuwa mmoja wa wadau wakubwa wa Globu ya Jamii, bali pia amekuwa mchangiaji wa mawazo kwa muda mrefu.
Home
Unlabelled
ANKAL ANA KWA ANA NA MBUNGE WA MAFINGA MJINI MHE. COSATO CHUMI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
anklle fikisha salamu zetu kwa mhe chumi
ReplyDelete