
Meneja wa kitengo cha Bidhaa –Wateja wa Rejareja wa Benki ya Barclays,Valence Ruteganya akizungumza na waandishi wa habari juu ya kampeni ya wateja kupata asilimia 100 ya mshahara kwa kupita katika akaunti ya benki ya Baclays katika hafla ya kumkabidhi mteja aliyepitisha mshahara wake na kupata asilimia 10 iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam,kushoto Meneja wa Kanda ya Namba Moja,Kitumari Massawe kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa –Wateja wa Rejareja,Oscar Mwamfwagasi.

Meneja wa Kanda ya Namba Moja,Kitumari Massawe akimkabidhi mfano wa hundi kwa Julius Odinga aliyeshinda asilimia 100 baada ya kupitisha mshahara wake katika benki hiyo, anayeshuhudia ni Meneja wa Tawi la Mikocheni wa Benki ya Barclays,Veronica Mcharo katika hafla iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.(Picha na Chalila Kibuda wa Globu ya Jamii) .
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...