Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ankali Michuzi,

    Wapiga Kura ktk Kip;indi cha Uchaguzi walikuwa wanategemea ahadi nyingi saana na kutoa mahitaji mengi kwa Wagombea hasa ngazi ya Uraisi.

    Kwa nini watu hawakutoa mahitaji ya Jukumu la kuirudisha Sarafu ya Tanzania ktk thamani badala ya kuyumba?

    Hii isingewekwa wa Dr.Magufuli peke yake ambaye ameibuka Mshindi wa Kiti cha Uraisi, ilitakiwa hata wale waliopoteza wapewe jukumu la kutoa ushirikiano na Mshindi wa Uraisi ili kulifikia lengo hilo kwa maslahi ya Taifa na sio kukomoana!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...