Meneja Bidhaa wa benki ya Exim Tanzania Bw. Aloyse Maro akitoa neno la shukrani kwa wageni waalikwa waliohudhuria
hafla ya jioni iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wake ili
kusherehekea msimu wa diwali, jijini Dar es Salaa, mwishoni mwa juma.
Meneja
Mwandamizi Wateja wakubwa na Uwekezaji wa Benki ya Exim Tanzania Bi. Khilna Mamlani (mwenye vazi jekundu) akitoa zawadi kwa
mmoja wa wateja wa benki hiyo aliyehudhuria hafla ya jioni iliyoandaliwa na
benki hiyo kwa ajili ya wateja wake ili kusherehekea msimu wa diwali, jijini
Dar es Salaa, mwishoni mwa juma.
The mdudu, ni bora mngeenda kuchangia zile Mashine za hospital ya Muhimbili amkeni toka usingizini watanzania wenzenu wanateseka nyie mna tuambia mambo ya DIWALI? Lo mshindwe na mregee kama faruja au mlenda mjomba Michuzi please usinibanie upupu wangu
ReplyDelete