Nyumba nyingine eneo hilo nayo ikisubili kubomolewa na manispaa ya Kinondoni.

Wazee wa kazi wakiwa katia geti la nyumba inayotakiwa kubomolewa maeneo ya mtaa wa Libermann Mbezi Beach jijini Dar es Salaam leo.
Wakazi wa nyumba nyeupe inayobomolewa wakitoka nje ya nyumba baada ya kuanza kubomolewa na manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam leo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...