Hata hivyo maelezo yake yalipingana na yale ya kaimu mganga mkuu wa manispaa ya Shinyanga Dkt Mhana Raphael(mwenye suti pichani) aliyedai kuwa mkoa wa Shinyanga hauna tatizo la upungufu wa dawa bali dawa pekee ambayo haipo ni ile ya Antibiotic.
Kwa picha na habari zaidi BOFYA HAPA
Jamaa wa pic ya kwanza kushoto kwa dc lazima atakuwa na udugu na kingwendu asee, dih
ReplyDelete