Wananchi zaidi ya 500 wa kata ya Nyarugusu Mkoani Geita waandamana hadi zahanati ya kata hiyo wakishinikiza kuondolewa kwa wahudumu wa zahanati hiyo kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mama mjamzito.https://youtu.be/kF6wJDt_BIo
Hatua ya kwanza ya upanuzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere yaelezwa kukamilika kwa asilimia 65. https://youtu.be/Z-PW1LOT9bA
Zaidi ya shilingi bilioni 3 zimetumika katika ujenzi wa stendi mpya Kisasa ya Msamvu Mkoani Morogoro na kupelekea mradi huo kukamilika kwa asilimia 50. https://youtu.be/L05t_EvTLbU
BOFYA HAPA KUONA ZAIDI
BOFYA HAPA KUONA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...