SIMU.TV: Pata Uchambuzi toka kwa wataalumu wa mambo ya kisiasa juu ya hali ya kisiasa nchini Burundi, Ungana na SIMU.tv Hapa.
SIMU.TV: Pata Dondoo kuhusu Ugonjwa wa Kisukari na jinsi ya kutibu ugonjwa huo katika safari ya kuelekea sikukuu ya maadhimisho ya Kisukari Duniani. https://youtu.be/mdHmzzX7MG4
SIMU.TV: Pata uchambuzi kutoka kwa Mwenyekiti wa hifadhi za jamii utambue faida na Sheria mbali mbali za haki katika mifuko ya uhifadhi wa jamii. https://youtu.be/6RcGgTUt66c
SIMU.TV: Kutana na balozi Ally Karume kutoka Zanzibar akikujuza hali ya kisiasa Zanzibar amesema hali ya kisiasa Zanzibar ni shwari, https://youtu.be/vUaOIHrTjzk
SIMU.TV: Serikali imedaiwa kutowatumia vizuri waandishi wa habari kutangaza vivutio vya utalii nchini hivyo kukosesha taifa mapato yatokanayo na sekta hiyo; https://youtu.be/71dT6sH47nE
SIMU.TV: Bodi ya mikopo ya elimu ya juu yakanusha taarifa zinazosambaa katika mitandao kuwa bodi hiyo haitatoa mikopo kwa waombaji wapya; https://youtu.be/D98xDcSCGks
SIMU.TV: Wananchi wanaoishi mabondeni wameonesha wasiwasi wa kukumbwa na Mafuriko kutokana na taarifa iliyotolewa na mamlaka ya hali ya hewa. https://youtu.be/1DaoFINhgmk
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...