Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Mohamed Seif Khatib mara baada ya kuwasili kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi,Ofisi Ndogo Lumumba.
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa Sekretarieti Ndugu Anamringi Macha mara baada ya kuwasili kwenye ofisi za CCM Lumumba.
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wapenzi na wanachama wa CCM waliojitokeza kumpokea kwenye Makao Makuu ya Chama Ofisi Ndogo Lumumba.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisani kitabu cha wageni mara baada ya kuingia kwenye ofisi yake,waliosimama ni Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Mohamed Seif Khatib (kulia) na Naibu Katibu Mkuu CCM (Bara) Ndugu Rajab Luhwavi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. samahani michuzi nashangaa vipi JK anasaini kitabu cha wageni wakati yeye ndio mwenyeji wa hio ofisi , maajabu haya

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nilijiuliza same question, he has been in the same ofisi for 10years!

      Delete
  2. Hicho nadhani sio kitabu cha wageni labda nicha mahudhurio kazini au for fire purposes.
    Lakini pia yawezekana nI cha wageni naye nimgeni hapo 10 yrs aliyosema anonymous hapo juu Jk hakuwa hapo offisini. Alikua pia president wa nchi at the same time chairman wa ccm.inawezekana kazi nyingi za chama alikua anafanyia Ikulu isipokua mikutano ya chama tuu. Sasa hana huo urais hivyo kazi pekee ni hiyo hivyo ameenda kuripoti offisini na kusaini hicho kitabu.
    Huo ni mtazamo wangu tuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...