Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibuni yenye makao nchini Ujerumani ,itatumbuiza mjini Bremen,Ujerumani
Leo jumamosi 7 November 2015,katika ukumbi wa Weserterrasse, uliopo
mtaa wa Osterdeich 70b, D- 28205 Bremen kuanzia saa usiku, onyesho hilo limeandaliwa na Pan-African Org tawi la Bremen ambalo linasherekea miaka 10 ya kuanziswa kwake. bendi ya Ngoma Africa band kwa sasa wanatamba na CD yao mpya La Mgambo na pia song lao jipya waliloliachia juzi tu "Mapenzi ya Pesa" nyimbo zote hizo zinapasua anga ya kimataifa
unaweza pia kusikiliza at www.ngoma-africa.com
ffu-ughaibuni nyie hakuna kupumzika KAZI TU# mpaka kieleweke
ReplyDeleteZe ngoma africa aka ffu,aka viumbe wa ajabu Anunnaki aliens bin watoto wa mbwa
ReplyDeletekutoka sayari ya pekee
Kamanda mkuu ras makunja's na kikosi cha mashambulizi aka watoto wa mbwa ,aka ffu-ughaibuni viumbe wa ajabu anunnaki
ReplyDeletemkuu ras makunja mnatuachaga hoi majina yenu jinsi yanavyo tisha the ffu-ughaibuni, watoto wa dog
ReplyDeletekamanda miye nakupigia saluti kumiliki na kumudu kukaa ndani ya gemu kwa muda mrefu tena ugenini si mchezo gwaride unaliweza kiongozi
ReplyDeleteViumbe wa ajabu ffu aka anunnaki aleins kutoka special planet mliotuwa ughaibuni kwa kazi moja tu ya kuwadatisha akili washabiki wenu! hongereni
ReplyDeletekamanda lile song lenu jipya mapenzi ya pesa mkuu turushieni tena hewani
ReplyDeletemle kuna mistari yenye utata lakini mpaka usikilize deep mkuu kazi nzuri sana sio muziki wa kitoto
NGOMA AFRICA AKA FFU WAZEE WA GWARIDE NA MWENDO WA KASI CHINI YA KAMANDA MAKUNJA BIN MAJUNUN MFLAME WA VIUMBE HATARI ANUNNAKI ALIENS NYIE WABAYA....
ReplyDelete