Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akifundishwa jinsi ya kupiga ngumi za mkunjo wa juu 'UpperCut' wakati wa mazoezi ya bondia huyo kujiandaa na mpambano wake dhidi ya Bondia Twaha Kassimu, utakaofanyika katika uwanja wa Jamuhuri Mkoani Morogoro Desemba 25, mwaka huu.
Picha na SUPER DBOXING NEWS.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...