BIBIANA (NKAMALI) PETER BASI KWEKA
KIFO 16/11/2001
Bibi yangu mpendwa na somo wangu pia.Leo umetimiza miaka 13 tangu ulipoitwa mbinguni kwa BABA. Hatuna cha kusema,tumebaki kushukuru tuu kwani hata miaka ulioishi ilizidi ile ya Upendeleo.
Tunakumbuka uzuri wako,Ucheshi,Usafi na Ufanyakazi wako bila kusahau jina lako (BIBI SHAMBA). Kweli ulikuwa mfano wa kuigwa unakumbukwa sana na mimi somo wako JANE,WAJUKUU WOTE WA KWA BASI,MTOTO WAKO WA PEKEE ALIYEBAKI DUNIANI SR.DEVOTA KWEKA CDNK, WA KWEKA WOTE WA NARUMU,WA –ULOMI WOTE WA USWAA,NDUGU,JAMAA NA MARAFIKI ,MISA YA KUMUOMBEA ITAKUWA NYUMBANI KWAKE NARUMU TAREHE 01/01/2016.
, WOTE MNAKARIBISHWA
RAHA YA MILELE UMPE Ee BWANA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...