Home
Unlabelled
MALINZI AMPONGEZA WAZIRI MKUU MAJALIWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
The mdudu, wewe kwanza unaempongeza waziri mkuu wetu ujiangalie kwa jicho la 3 kama una fit hapo TFF maana uliingia hapo kwa mbwembwe zote lakini mtu kama mimi bado sijaona ubunifu wako why nasema hivi? mimi nipo huku Uingereza najionea mwenyewe kwa macho yangu mawili yasio na chongo nini maana ya uongozi na nini kiongozi anatakiwa kufanya kwenye majukumu yake sasa nikwambie moja ya makosa yako wewe kama kiongozi mkuu wa TFF kitendo cha kuruhusu wachezaji wa kigeni kutawala kwenye ligi ya VPL hasa ujinga wanaofanya YANGA NA SIMBA pamoja na AZAM wakununua utitili wa wachezaji kutoka nnje ya Tanzania yetu hili ni kosa kubwa tatizo kama hilo ndilo linalowatesa waingereza hasa timu yao ya taifa yaani England wapenzi wanapiga kelele lazima wachezaji wao wapewe kipau mbele kwanza kwa faida ya timu yao ya England so hata mimi nakubaliana nao wana haki ya kulalamika, ,,,,, na kuna sheria inakuja soon ya kuwabana wachezaji wakigeni sasa ushauri wangu kwako kama kiongozi mkuu na kweli kama una uchungu na soka la Tanzania yetu nakuomb ufanye haya haraka sana 1) Toa tamko kila timu ya VPL inajenga uwanja bora na wa kisasa sambamba na vituo vya kukuza vipaji vya watoto wadogo ili waondokane na ujinga wa kuleta wachezaji wa kigeni na huo ndio msingi imala wa soka la Tanzania yetu kwa sababu wachezaji wengi watatokea kwenye hivyo vituo so watachezea timu zao pamoja na Taifa Stars (2) nyie TFF muwe mnatoka mje kama hapa Uingereza muangalie na kujifunza kwa jinsi wezetu walivyo jipanga kwenye mchezo wa football (3) nyie TFF mkae pamoja na rais wetu Magufuli na mmwambie KITUO KAMA CHA KIDONGO CHEKUNDU TUJENGE KILA MKOA WA TANZANIA mimi niko na 100% lazima atakubali kwa sababu Magufuli ni mpenda maendeleo so hana sababu ya kukataa ok kwa leo ni hayo tu ila niko na mawazo endelevu mengi sana ya kuchangia ili Tanzania yetu iende pale tunapotaka mimi kama mimi nishachoka kuumia moyoni na sio mimi tu mamilioni ya watanzania nao washachoka kuumia moyoni so really we need changing as soon as possible please.
ReplyDeleteWell said mkeleketwa
Delete