SIMU.TV: Rais Magufuli ashusha rungu Muhimbili, avunja bodi, amuondoa mkurugenzi mkuu, ni baada ya kufanya ziara ya ghafla hospitalini hapo;  https://youtu.be/UPucMJf1cO8

SIMU.TV: Seif, Shein wateta ikulu Zanzibar. Wawakilishi CUF wazidi kuing’ang’ania ZEC. Wabunge watumia vyeti kuhalalisha ushindi CUF;  https://youtu.be/FLs0DyJ1VMs

 SIMU.TV: Helen Simba ahamishiwa ICU, Ubunge viti maalum yaivuruga CHADEMA. Uganda yanunua hospitali Tanzania; https://youtu.be/z5MdQ7ROUxs

 SIMU.TV: Samatta, Ulimwengu sasa wahamishia makali Taifa Stars. Simba SC yamzidi akili Niyonzima, waeka noti;  https://youtu.be/jW-vqcWIeTY

 SIMU.TV: Wizara nane kufyekwa, Wana CCM 10 wajitokeza kumrithi Filikunjombe. Pata dondoo za magazeti kwa kina hapa Simu.Tv; https://youtu.be/AFYU5CPTyJM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...