Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Ziwa, Godwin Zakaria(kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Chama cha Mitumbwi kanda ya Ziwa, Richard Mgabo,moja vikombe vitakavyoshindaniwa katika mashindano ya  za mbio za Mitumbwi wakati wa uzinduzi huo uliofanyika jijini Mwanza mwishoni mwa wiki kwa udhamini wa bia ya Balimi Extra Lager.
 Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Ziwa, Godwin Zakaria(kushoto) akimkabidhi Mwenyekiti wa Chama cha Mitumbwi kanda ya Ziwa, Richard Mgabo,moja vikombe vitakavyoshindaniwa katika mashindano ya  za mbio za Mitumbwi wakati wa uzinduzi huo uliofanyika jijini Mwanza mwishoni mwa wiki kwa udhamini wa bia ya Balimi Extra Lager.
Mwenyekiti  wa mitumbwi Kanda ya Ziwa, Richard Mgambo(katikati),akinyanyua juu moja ya kikombe mara baada ya kukabidhiwa na Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Ziwa, Godwin Zakaria kulia kwake atakalokabidhiwa bingwa wa mbio za makasia  mara baada ya uzinduzi wa mashindano hayo yaliyofanyika TBL Mwanza mwishoni mwa wiki kwa udhamini wa bia ya Balimi Extra Lager.Wengine  ni viongozi wa mikoa katika maeneo ambako fainali zitafanyika.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Naomba namba ya simu au mawasiliano yoyote Ndg,Richard Mgabo,naitaji kupata uzoefu wao katika kuandaa mashindano ya namna hii.Sisi tuna shindano kama hili mwezi wa kumi na mbili tarehe 19 na 20 ,2015 Matema Beach kwenye Matema Beach Festival.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...