Meneja Mkuu wa mgodi wa STAMIGOLD Mhandisi Dennis Subugwao (kushoto) akikabidhi moja ya vifaa vya kujifunzia wanafunzi kwa Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Biharamulo, Ndugu Nassib Mmbaga muda mfupi baada ya kuzindua jengo la choo cha wanafunzi Shule ya msingi Mavota, Mkoani Geita.
Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Mavota akizungumza mara baada ya
kukabidhiwa jengo la choo cha wanafunzi kilichojengwa kwa ushirikiano kati ya
mgodi wa STAMIGOLD na wananchi wa kijiji cha Mavota.

Moja kati ya darasa lililokamilishwa kwa msaada wa mgodi wa STAMIGOLD Biharamulo. Pichani ni watendaji kutoka mgodini na halmashauri ya wilaya ya Biharamulo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...