Wanafunzi wa shule ya msingi Tabata Kisukulu wakiendelea na vipindi baada ya kupata msaada wa madawati 100 kutoka Mamlaka ya Elimu Tanzania. Msaada huo ni sehemu ya msaada wa madawati 1500 yaliyotolewa kwa shule 15 za mikoa ya Dar es Salaam na Pwani kwa ushirikiano wa Mamlaka ya Elimu Tanzania na Benki ya KCB.
Home
Unlabelled
Msaada wa madawati kwa shule 15 za mikoa ya Dar es Salaam na Pwani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ndugu michuzi mwambie dkmagufuli , haya mambo ya shule kupewa misaada ya madawati sio tija. Kuna wizara ya elimu ndio inatakiwa ifanye kazi hii waache kuiba fedha , miti na mbao tunazo nchini vipi tushindwe kujitegemea kwenye madawati mpaka watokee wafadhili? waswahili husema mkono mtupu haulambwi ,kuna siku hawa wanaojitolea watachoka.
ReplyDeleteInapendeza, lakini mbona hatuoni picha za madawati yaliyotolewa kwenye shule kule Kasulu Kibondo au Uvinza na Biharamulo?
ReplyDelete