Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao Kikao Cha Kamati Kuu na Cha Halmashauri Kuu jijini Dar es salaam ambacho kimehudhuriwa kwa mara ya kwanza na Rais wa Awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli.PICHA NA ISSA MICHUZI WA IKULU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Sasa ccm ni jukumu lenu kuhakikisha nchi inasonga mbele zaidi kimaendeleo. No ifisadi hatutaki kusikia halimashauri imetafuna pesa au mtu yeyote kwenye sekta ya umma

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...