Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC), Dr. Helen K. Bisimba amepata ajali ya gari katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es salaam. Amekimbizwa hospitali tunaendelea kufuatilia maendeleo yake na kuwajulisha . Pichani juu na chini ndilo gari alilokuwa akisafiria.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Pole sana Dr Helen, Mwenyezi Mungu akupe afueni ya haraka.

    ReplyDelete
  2. Poleni sana mlioathirika na ajali hii. Na haya magari yetu ya kisasa hayana tofauti na ndo uzuri wa mkakasi kumbe ndani kipande cha mti, mana hata kwa 'penseli' haufai. Ndio haya magari, yakipata ajali kidogo tu yanajikunjakunja mithli ya nailoni lilopata moto. Yarabi tunusuru na hivi vyombo vyetu vya moto barabarani.

    ReplyDelete
  3. hatari juzi umetoka wasema watu fulani leo gari la pinduka what a coincidence

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...