Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimjulia hali Mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za Binadam,Bi
Hellen Kijo Bisimba aliyelazwa hospital ya Agakhan mapema leo kufuatia
ajali ya gari aliyoipata mwishoni mwa wiki barabara ya Al-Hassan Mwinyi
jijini Dar, Dkt Magufuli pia amefanya ziara ya kushtukiza katika
hopsitali ya Taifa ya Muhimbili ikiwemo pia alitembelea wodi mbalimbali
za wagonjwa na kuwajulia hali zao.
Home
Unlabelled
NEWZ ALERT: MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI,AMJULIA HALI BI HELLEN KIJO BISIMBA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PONGEZI NYINGI SANA RAIS WETU KWA KUWAJALI WATANZANIA. UBARIKIWE SANA SANA NA MWENYEZI MUNGU AKUJALIE AFYA TELE.
ReplyDeleteTunakuombea baba fanya kazi tuliyokuagiza wana ccm tuna imani kubwa na thabiti na ww wanafiki wacha waongee cc kazi tuuuuu.
ReplyDeleteHuyu ndo rais ambaye wengi tulimpigia kura sababu tuna imani naye. Mwenyezi Mungu amsaidie rais wangu aibadilishe Tanzania.
ReplyDeleteNi vizuri maana kuna wazembe wengi pia na rushwa mahospitalini wagonjwa wanakufa hovyo
ReplyDeletehapa kazi tu uuu
ReplyDelete