Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Sometimes waweza kusema am so 'fussy' but not, ila huwa nashindwa kuhimili nnapokhisi kukwazika na jambo au kitu flani, nafarijika nikikitowa rohoni. Nadhani hapo kwenye tarehe 5 Tukio la mwanzo, ingependeza au kuwa fasaha zaidi kama ingeandikwa...Kuanza kwa kusomwa DHUMUNI la Rais la kuitisha Bunge, kuliko ilivyoandikwa TANGAZO la Rais la kuitisha Bunge. Kama ni tangazo nadhani lilishafanyika/kutangazwa na ndio maana wabunge au waheshmiwa hao husika wameweza kurespond na kuwasili wanapostahili kuwepo na kuanza shughuli husika na si tangazo tena ni DHUMUNI sasa la kuwafahamisha dhima ya kuwepo kwao hapo. (Samahani kama ntakuwa nimechafua au kupotosha).

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...