Mratibu wa Wafanye Watabasamu ambaye pia ni mchora
vibonzo nchini, Nathan Mpangala akimkabidhi sare za shule mmoja wa malaika
kituoni hapo. Aliyetupia koti ni Mwakilishi wa TNTA nchini, Bw. Mussa Mussa Zaidi
kuhusu Wafanye Watabasamu tembelea: https://www.facebook.com/ wafanyewatabasamu
Watoto wakizitathmini zawadi zao.
Mkurugenzi wa kituo cha Amani Orphanage Centre, Bi.
Margareth Mwegalawa akiwa amempakata mtoto yatima anayelelewa kituoni hapo. Mtoto
huyo alitupwa Chalinze miezi ya karibuni.
Kutoka kulia, Nathan Mpangala (Mratibu Wafanye
Watabasamu), Mussa Mussa (Mwakilishi TNTA), Amani Abeid (Rafiki wa Wafanye
Watabasamu) na matroni wa kituo hiko wakiangalia tenki la maji kituoni hapo.
Mnara wa tenki hili umetolewa na walimu wa Shule ya Msingi ya Catoon Grove.
Mratibu wa Wafanye Watabasamu Nathan Mpangala na
Mwakilishi wa TNTA Mussa Mussa walitafakari jinsi ya kuingia jikoni kituoni
hapo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...