Mvua kubwa iliyonyesha kwa saa kadhaa jijini Tanga yasababisha mfereji mkubwa kufurika na kupelekea maji kujaa kwenye makazi ya watu.https://youtu.be/EvPniLrdLSs
Taasisi za kijamii huko Zanzibar ziwashauri viongozi wa kisiasa toka pande mbili za CCM na CUF kukaa pamoja na kutafuta muafaka wa kisiasa.https://youtu.be/CWN7uEmw3YA
Tume ya taifa ya ucahguzi NEC yawataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika maeneo ambayo uchaguzi umepangwa kufanyika nchini.https://youtu.be/xeui81BkzHw
Maadhimisho ya kisukari yafanyika nchini hapo jana huku watu wengi wakijitokeza kupima afya zao na kupatiwa ushauri. https://youtu.be/kxIrs_LXAHM
Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Mtwara walalamikia huduma zinazotolewa katika hospitali ya rufaa ya Ligula Mkoani humo. https://youtu.be/jMXcXpq-eyA
Benki ya damu salama kanda ya kaskazini inakabiliwa na upungufu mkubwa wa damu salama kufuatia ongezeko la mahitaji ya damu mahospitalini hivyo kuhatarisha uhai wa wagonjwa. https://youtu.be/QuyNKM7JCUA
Vyama vya upinzani vyatakiwa kujipanga upya ili viweze kuaminiwa na kupewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa kuimarisha mifumo ya vyama vyao.https://youtu.be/9Q0bR4oxqQ4
Chama cha Mapinduzi mkoa wa Iringa chajikuta njia panda na kukumbwa na sintofahamu baada ya kada wake kutimkia chadema na kupewa ubunge wa vitimaalum. https://youtu.be/xpGJMks731k
Baadhi ya wachezaji wa Taifa Stars waeleza masikitiko yao baada ya kutoka sale ya bao 2 kwa 2 na timu ya Algeria. https://youtu.be/8ePj-jApiyU
Mechi ya kirafiki kati ya Uingereza na Ujerumani imehairishwa kufuatia hofu ya mashambulizi ya kigaidi kama ilivyotokea nchini Ufaransa.https://youtu.be/R0JaDzW7i1I
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...